beginner quiz
Learn Sqaahil Online Basic Quiz 1:
QUESTION 1/43
Andika kikamilifu kwa kuchagua kiulizi sahihi.Babu aliishi miaka
ngapi
mingapi
mangapi
Next
QUESTION 2/43
Homa kali inayoambukizwa na mbu huitwa______________
malaria
ukambi
malale
Next
QUESTION 3/43
Chagua jibu linalofaa kujazia pengo.___________ni mnyama anayeweza kuitwa mnyama wa nyumbani
nyati
ngombe
ndovu
Next
QUESTION 4/43
Jaza pengo kwa kutumia kifaacho.Paka_____________wamekimbia.
zake
yake
wake
Next
QUESTION 5/43
Chagua kiwakilishi cha nafsi kukamilishia sentensi.Tuta___saidia.(nyinyi)
ni
m
ku
Next
QUESTION 6/43
Mwenzako akikusalimia cheichei nawe utamjibu _____________
ewaa
chewa
marahaba
Next
QUESTION 7/43
Anita alienda kulala akamuaga Amina alamsiki.Je, Amina angemjibu vipi Anita?
binuru
ewaa
kwaheri
Next
QUESTION 8/43
Nywele za mvi zinayo rangi ipi?
samawati
nyeusi
kijivu
nyeupe
Next
QUESTION 9/43
Tumia kimilikishi sahihi kukamilisha sentensi -Naoba unipe viatu............
vyangu
zangu
yangu
Next
QUESTION 10/43
Nitamwita vipi kaka wa mama?
mjomba
shangazi
ami
Next
QUESTION 11/43
chakula cha kishuka huliwa wakati upi kwa siku?
jioni
alfajiri
asubuhi
adhuhuri
Next
QUESTION 12/43
Tumia kihusishi sahihi-Alikula kunawa kunawa mikono
baada ya
baada
badala ya
Next
QUESTION 13/43
Kamilisha sentensi kwa kutumia -ote
Miti ina matunda
Mahindi ..yalikaangwa
Darasa ..limefagiliwa
Mmea umengolewa
Next
QUESTION 14/43
tumia kiunganishi sahihi kujaza pengo. Mtoto huyu amekuja shuleni akiwa hana kitabu kalamu
wala
lakini
bila
Next
QUESTION 15/43
Paulo na Zawadi walikutana.Paulo alikuwa akienda upande wa kusini.Je,kisogo cha Zawadi kitaangalia upande gani?
kusini
mashariki
kaskazini
Next
QUESTION 16/43
Vazi linalovaliwa na wanawake pekee ni______________
gagro
shati
kizibao
Next
QUESTION 17/43
Tumia a-unganifu kwa kujaza pengo.Mahali ________kukaa ni hapa.
pa
ya
wa
Next
QUESTION 18/43
Fundi wa kusuka nywele huitwaje?
msusi
msasi
kinyozi
Next
QUESTION 19/43
Yupi si ndege wa nyumbani
kuku
bata
kanga
Next
QUESTION 20/43
Baba wa babu yako utamwitaje?
mjomba
babu mkuu
babu
Next
QUESTION 21/43
Mmea uzaao ndizi huitwa .
mndizi
mgomba
mti
Next
QUESTION 22/43
Neno lisilokubaliana na mengine ni lipi?
tafadhali
nipe
asanti
pole
Next
QUESTION 23/43
Mtu akukwambia asante utamjibu vipi?
ndio
asante
karibu
nimesikia
Next
QUESTION 24/43
kamilisha kwa ufasaha:waislamu wameenda kuswali
hekaluni
msikitini
Next
QUESTION 25/43
Nyama inayoshikilia meno ni ..
ulimi
ufizi
Next
QUESTION 26/43
Rukia amefunga saa kwenye
kiwiko
kisugudi
Next
QUESTION 27/43
Ndevu ni nywele zinazoota kwenye ..
kidevu
kitovu
Next
QUESTION 28/43
Msimu wa mvua nyingi sana huitwa?
masika
kipupwe
kiangazi
Next
QUESTION 29/43
Chumba cha walimu shuleni cha kukaa wakipanga kazi zao na kusahihisha madaftari ni .
sebule
majilisi
pambajio
Next
QUESTION 30/43
Ugonjwa wa kuambukiza wa kuhara na kutapika,unaosambabishwa na kula au kunywa uchafuni
kipindupindu
ukimwi
Upele
Next
QUESTION 31/43
Tumia kiashiria sahihi: mkate_____ ni mtamu.
hii
huu
huyu
Next
QUESTION 32/43
Chagua jibu sahihi:samba alinitazama -------------macho makali
na
kwa
Next
QUESTION 33/43
Tumia amba vipasavyo.Kipepeo___________alitegwa alitoroka.
ambaye
ambacho
ambao
Next
QUESTION 34/43
Tumia enye au enyewe ipasavyo .Mtoto_____________alianguka
mwenyewe
menyewe
Next
QUESTION 35/43
Kipanga,ninga,heroe,korongo kwa jina moja ni_____________
samaki
nyuni
wanyama
Next
QUESTION 36/43
Tegua kitendawili:mama nieleke_______
gari
kitanda
Next
QUESTION 37/43
.Kitanda cha kuabebea wagonjwa mahututi hosipitalini huitwa_________
jeneza
sanda
machela
Next
QUESTION 38/43
Jiko la makaa huitwa______________
stovu
seredani
mafiga
Next
QUESTION 39/43
Taja ngeli ya mkono
U_I
U_U
KI_VI
Next
QUESTION 40/43
Chagua matumizi sahihi ya enye kasha uandike na ukamilishie sentensi hii.Mti__________mizizi haianguki.
zenye
wenye
mwenye
yenye
Next
QUESTION 41/43
Kamilisha methali.Kidole kimoja hakivunji_________
chawa
mende
nyuk
Next
QUESTION 42/43
Chanja jibu sahihi.Mtoto anakula vizuri ndiyo maana ame_______haraka
kua
kuwa
Next
QUESTION 43/43
Jua huzama upande wa ______________
kusini
mashariki
magharibi
Next
Name
Email address
Subscribe